MANCHESTER UNITED WAWEKA HADHARANI UZI WAO MPYA WA MSIMU UJAO - BZONE

MANCHESTER UNITED WAWEKA HADHARANI UZI WAO MPYA WA MSIMU UJAO

Share This
SPORTS: Manchester United mapemaa imeamua kuuweka hadharani uzi wake mpya wa msimu wa 2017/18.


Uzi huo unaonekana kurudisha kumbukumbu ya Man United kuhusiana na jezi za enzo hizoo wakati wa kipindi cha Alex Ferguson na wachezaji kama Ryan Giggs walikuwa wakichipukia.

No comments:

Post a Comment

Pages