JE ULIONA MITOKO YA KIZAMANI KWENYE BIRTHDAY PARTY YA SALLAM SK...... - BZONE

JE ULIONA MITOKO YA KIZAMANI KWENYE BIRTHDAY PARTY YA SALLAM SK......

Share This
ENTERTAIMENT: Jana ilikuwa birth day ya meneja wa Diamond Platnumz, Sallam, sasa Crew ya WCB katika sherehe ya kiongozi huyo wakaamua kutupia  kwa style fulani hivi ya kizamani. Tumekusongezea hizi picha, kisha tuambia nani katisha kati yao.

No comments:

Post a Comment

Pages