ADAM MCHOMVU – SHUGHULI LISTEN/DOWNLOAD - BZONE

ADAM MCHOMVU – SHUGHULI LISTEN/DOWNLOAD

Share This
MUSIC: Huenda hii ikakubadilisha kabisa mawazo kichwani mwako ambayo ulikuwa nayo kuhusiana na uwezo wa kimuziki wa Pure People Presidend Adam Mchomvu.
Ikiwa leo May 16 anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, AD+ ameamua kuitoa hii kama zawadi kwa fans. Inaitwa Shughuli, iko exclusive. Niamini mimi huwezi juta kuwa na ngoma hii kwenye simu yako, download au kusikiliza                                                          DOWNLOAD HAPA

No comments:

Post a Comment

Pages