ENTERTAIMENT: Mastaa kama Usher, Meek Mill na Young Jezzy wamehudhuria sherehe ya siku ya kuzaliwa ya The BossRick Ross akiwa anatimiza miaka 41.
Sherehe imefanyika kwenye jumba lake la kifahari huko Fayetteville,
Masta walivaa Mask tofauti kama sehemu ya kusherehesha watu walioalikwa,Wale, YG, Jeezy, Outkast>Big Boi, Big K.R.I.T., DeJ Loaf, Yung Dolph,na Curren$y, The Dream walikuwepo.
Mwanasiasa Congressman Hank Johnson, naye alikuwepo. Rozay kutoa album yake mpya Rather You Than Me, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment