Eminem anasherekea miaka 10 baada ya kujikwamua kwenye wimbi la matumizi ya madawa ya Kulevya. - BZONE

Eminem anasherekea miaka 10 baada ya kujikwamua kwenye wimbi la matumizi ya madawa ya Kulevya.

Share This
Eminem (Picture: Supplied)ENTERTAIMENT:
Kwa yale tunayoyaona kwasasa ni juhudi zake binafsi baada ya kuteseka kwa miaka, Rapa huyu anaweza akawa amefanikiwa kupata kitu  muhimu sana baada ya kufikisha miaka kumi bila matumizi ya dawa za Kulevya.

Eminem celebrates 10 years of sobriety after drugs battle

Hii imeonakana kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuweka Caption inayosema ‘celebrated my 10 years yesterday’.

Rapa huyu mwenye umri wa miaka 45 mpaka sasa ameonesha shilingi ambayo ikiwa na chata ya kupinga matumizi ya vilevi na ikionesha umoja pamoja na huduma huku kukiwa na alama ya x katikati ikiwakilisha miaka kumi ya usafi wa kuishi bila madawa.

A post shared by Marshall Mathers (@eminem) on

Mashabiki hawakuwa nyuma kumpongeza rapa huyu kwa kufikisha miaka kumi bila matumizi ya madawa ya kulevya  na huku nyota wenzake nao wakimpa faraja na matumaini ya kusonga mbele bila madawa.


Jina kamili la Eminem anajulikana kama Marshall Mathers aliweza kufunguka na kusema ' nimekuwa nikizidisha vidonge na nikachukua uhamuzi wa kwenda Hospitali nilikuwa nakaribia kufikia pauni 230'  Eminem akaongezea na kusema 'ukishikwa na Vicodin na Valium na ukaacha kutumia lazima viache shimo kwenye tumbo lako na inaitaji moyo, kwa upande wangu nimekuwa nikijitahidi kula tena vibaya mno.' 
INGLEWOOD, CA - MARCH 11: Eminem performs onstage during the 2018 iHeartRadio Music Awards which broadcasted live on TBS, TNT, and truTV at The Forum on March 11, 2018 in Inglewood, California. (Photo by Kevin Winter/Getty Images for iHeartMedia)

Pamoja kuwa na afya njema na mahusiano mazuri na mazoezi. Eminem amejiangalia akiwa rehabu mwaka 2008 ambapo alianza hatua 12 kwa programu mahalumu zilizo tumika ili aweze kuacha.



Nyota huyu ameweza kurudi kwenye mziki akiwa tofauti kabisa huku akiachia Album yake ya 9 ikijulikana kama Revival.

No comments:

Post a Comment

Pages