MO MAIN MAN..! Nyota wa Liverpool Mo Salah hampiga chini Kevin De Bruyne kwenye tuzo za PFA. - BZONE

MO MAIN MAN..! Nyota wa Liverpool Mo Salah hampiga chini Kevin De Bruyne kwenye tuzo za PFA.

Share This
 Mohamed Salah has beaten Kevin De Bruyne to be named PFA Player of the YearSPORTS:
Mmisri huyu amepigana kwenye shindano ili na mkali kutokea Manchester City Kevin De Bruyne ambae nae pia amekuwa na msimu mzuri sana.



Salah ameshinda Magoli 31 kwenye ligi kuu kwenye msimu wake wa kwanza akiwa Anfield na pia ameweza kusaidia kupatikana kwa magoli mengine akiwa na assist 9.

Mchezaji huyu wa zamani wa Chelsea amekuwa ni gita lenye mlio poa kwa Liverpool kwa kuwafanya kuwa kwenye nne bora chini cha kocha Jurgen Klopp.



Salah alijiunga na majogoo akitokea Roma msimu uliopita kwa ada ya Pauni milioni 37 na haraka haraka ameweza kujiweka kwenye ramani sahihi kwenye klabu hakipata utambuliko wa haraka kwa mashabiki ndani na nje ya klabu.




De Bruyne amemaliza akiwa chini ya Salah huku Mbelgiji huyu akiwa  ajakatishwa tamaa kwa kuikosa tuzo hiyo. Na mchezaji mwengine aliechukua tuzo ya juu ni kipa kutokea klabu ya Manchester United David De Degea  akiwa kipa bora wa msimu huu na kwa upande mwengine tukiona Harry Kane, David Silva na Leroy sane wakitajwa na Sane akiwa mchezaji bora mdogo.

 Leroy Sane has been named PFA Young Player of the Year

No comments:

Post a Comment

Pages