Ina maana Bob Fella anabaki United? Amenunua nyumba yenye thamani ya Pauni Milioni 2.4. - BZONE

Ina maana Bob Fella anabaki United? Amenunua nyumba yenye thamani ya Pauni Milioni 2.4.

Share This
Kwa sehemu kubwa Fellain alikuwa anatarajiwa kwamba anaweza akaondoka kwenye klabu mwezi wa kwanza akiwa anahusishwa na klabu za Uturuki na Ufaransa.

 Marouane Fellaini has taken his six-bedroom mansion of the market

Mchezaji huyu wa zamani wa Everton amesemekana kununua mjengo ambao ulikuwa unamilikiwa na mshindi wa Kombe la Dunia mwaka 1966 Alan Ball, nyumba hiyo ikiwa na bwawa la kuogelea, Jumba la Cinema na vile vile Saloon ya kunyolea ndani.

 The house, formerly owned by Alan Ball, also boasts a well-sized swimming pool
Fellain amekuwa ni Kiungo asiekubalika na mashabiki wa United tangia alipotua 
kwenye klabu hiyo akitokea kwa watengeneza pipi yani Everton mwaka 2013 na akicheza dakika 155 kwenye mashindano yote akiwa na magoli 20.

 Fellaini's house boasts features including a home cinema and leisure complex


Mbelgiji huyu ajawahi kuwa hazina ya mija kwa moja kwa United lakini Jose Mourinho ni moja ya shabiki mkubwa wa kiungo huyo. Fellain amekuwa akitokea benchi chini ya Mreno huyu kwa kimo chake na nguvu zake na akibadilisha mchezo mara 23 kwenye mashindano yote msimu huu.




No comments:

Post a Comment

Pages