
Sterling alikuwa ni mchezaji bora kwenye mchezo dhidi ya Tottenham akishinda mkwaju wa penati na kushinda goli la tatu.

Lakini mwingereza huyuu alikosa nafasi kadhaa za magoli huku kocha wake akibaki kusema anatakiwa kujiunga na kundi la wachezaji ambao ni bora Duniani
Kwa mda ambao ataongeza ufundi wa kushinda magoli ndio atazidi kujiweka kwenye nafasi ya kuwa mchezaji bora Duniani kama unakumbuka alikosa nafasi mbili za wazo kabisa dhidi ya United na jana pia alikosa kwa mda ambao atakuwa anaimalika ndio mda ambao atakuja juu.

No comments:
Post a Comment