
Kupita njia yenye mabonde tele na vikwazo mpaka kuwafanya wawe tishio kwenye ligi kuu ya Uingereza, ilikuwa ni mikakati midogo midogo kwa miaka kumi ya Abu Dhabi ambapo kulikuwa hakuna mchezaji yeyote ambae ni wa kimataifa na World Class Player ambae angeweza kujiunga na City kwa miaka kumi ya nyuma ambapo ilikuwa ni nyuma ya Pep Guardiola.
Watu wamesahau kuwa miaka 10 iliopita ilikuwa ni miaka ambayo uwezi kuifikilia City ingefika kwenye sehemu kama hii, Kuijenga Klabu ambayo Guardiola aliichukua na kuijienga zaidi na kuifanya kuwa timu ya Dunia yani World Class Team. Wachezaji ambao atukuzani kama tungewewza kuwasikia na kutupa ushawishi na mvuto kwetu sisi.
Vile viziwizi vidogo vilivyokuwa na ukatili ndani yake ambavyo viliwafanya City kuendelea kupata uzoefu zaidi nan pale walipokuwepo hasa pale walipokuwa wakimnyemelea Christian Eriksen mbae kwasasa yupo Tottenham Hotspur lakini kipindi icho alikuwa mdogo chini ya miaka 18 wakati alipokuwa mchezaji wa AJAX, kusema kama alikuwa hanamvuto wowote hapo tutakuwa tunakosea.
Huo ndio ulikuwa mwaka ambao City Senior executive director alipokutana na wakala Dimitri Seluk kwenye hoteli kwenye mji wa Rome kuongelea wazo la kuweza kumnuua Yaya Toure kutoka Barcelona lakini Seluk aliposikia jina la timu alishtuka na kusema 'Manchester City?' na akajiuliza ' kwanini aondoke Barcelona kwajili ya timu yako?'
Ni pesa tu pauni 220,000 kwa wiki sio mchezo baada ya hapo wakamuona Davidi Silva kwa pauni Milioni 25 kutoka valencia mwaka 2010 ilikuwaga ngumu sana kwa City pale walipokuwa wakimtaka mchezaji wa kihispania.
Kununua wachezaji ni kama kutengeneza msitu ambao utakuwa unaishi peke yako na wanyama tu City walikuwa wanajua walichokuwa wanakitaka kwa miaka kadhaa mbele na walishajaribu kuwataka wachezaji kadhaa wakubwa akiwepo Xavi Alonso kutoka Real Madrid na John Terry kila wakati walionekana kulipuka tuu.
Klabu ilikuwa kiongozwa na Khaldoon Al Mubarak ambae asingeweza kuijenga City tunayoiona leo , Bizarre alifikilia sana kwa kuona mbali kwa kurekebeshi department ya ufundi pamoja na timu ya maskauti wamiliki hawa kutoka Abu Dhabi hawakutaka masiala kabisa kwenye biashara yao. walikuwa na kauli moja tu 'Fix and Build'

Nini kiliwafanya City kupindua fikra zilizokuwa kwenye vichwa vya watu wengi sana, Ebu sikiliza mwanangu ni ufundi wa utengenezaji ata wewe unaweza kwanza jaribu kutengeneza ukali kwenye kikosi chako au klabu yako kisha taufuta wachezaji ambao wapo na wamepitia kwenye sayansi ya mpira ambao wanajua njia zote za kiufundi ndani ya uwanja.

kuchukua yale makombe ya mwanzo City walichokuwa wanakitaka ni kukijaza kibubu chao ili waweze kuvuta nyota wengine wakubwa Duniani.Kipindi cha Roberto Mancini ambae alikuwa anafanya usajili mbovu na raisi sana wachezaji kama Javi Garcia na Maicon ambao teyari walikuwa wameshatumika mpaka wamechokwa na wasingeweza kuwepo kwenye mipango hii ya sasa.

Klabu ilishawahi kuingia kwenye mbio za kumnyakua hadi Eden Hazard mwaka 2012 kwenye mechi dhidi ya Monaco kwenye hoteli.

City kwasasa ni klabu tofauti kabisa, Unatakiwa kujua kuwa mpira ni biashara ya mda mfupi sana kwa miaka hii ya sasa, watu huwa wanasahau nini kilitokea miaka ya pale timu inaokuwa inatokea mpka inapofikia lakini kumbukeni kombe hili alikupatikana kwa mda wa miaka michache.
No comments:
Post a Comment