

Mchezaji huyu mwenye umrii wa miaka 22 kwa kufuatiliwa na kuwekewa madau kadhaa msimu uliopita lakini akaendelea kubaki kwenye kikosi cha Monaco.
Benardo Silva, Benjamin Mendy, Kylian Mbappe na Tiemoue Bakayoko ilikuwa ni idadi ya wachezaji ambao vijana wametokea kwenye klabu hiyo.

Mbali na hiyoo kocha alitaka kumbakiza Lemar na mbrazili Fabinho mbali na kupata ofa kadhaa kwa wachezaji hao. Lakini Raisi wa Monaco Vadim Vasilyev ametoa mashtaka yake yakuwa inawezekana mchezaji wa Ufaransa anaweza akauzwa msimu huu.
Na Raisi huyu alibaki tu kuwatakia mema timu ambazo zitakazokuja kumnunua Lemar ambae anasadikika kuwa na thamani ya pauni Milioni 110 .
No comments:
Post a Comment