
Rapper huyo amethibitisha hilo kupitia mtandao wa Twitter na kutaja jina la albamu hiyo itaitwa ‘KOD’.

“New album. KOD 4/20,” ameandika Cole kwenye mtandao huo.
Cole amewahi kuachia albamu nyingine nne ikiwemo ‘Cole World: The Sideline Story’ (2011), ‘Born Sinner’ (2013), ‘2014 Forest Hills Drive’ (2014), 4 Your Eyez Only (2016).

No comments:
Post a Comment