Hii ndio VPL,Yanga yashindwa kutamba sokoine Huku Mbeya city wakiwa pungufu. - BZONE

Hii ndio VPL,Yanga yashindwa kutamba sokoine Huku Mbeya city wakiwa pungufu.

Share This
SPORT:
licha ya Yanga kuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 58 kupitia kwa Raphael Daudi, umakini wa beki yao ulikuwa mdogo na kufanya Mbeya City kusawazisha goli hilo dakika za nyonge kupitia kwa Idd Suleiman.

\

Mchezo ulikuwa kama watu wengi walivyotarajia utakua ni mchezo mgumu sana kwa yanga na wengi wakidai kuwa uchovu wa kucheza mchezo wa kimataifa na kutopata nafasi kubwa sana ya kupumzika ndio kilicho wapelekea kutoka sare ya 1-1



Matokeo hayo yanaifanya Yanga ijipatie alama moja pamoja na Mbeya City, ambapo sasa imefikisha alama 48  msimamo huku watani zake wa jadi Simba wakiwa na 59

No comments:

Post a Comment

Pages