

Mastaa kama Rihhana,Dennis Rodman, Kylie Jenner, Halsey, Olivia Culpo, Kyle Richards, Amber Rose, A$AP Rocky, Demi Lovato ambae aliweza kuonekana kwenye picha ya siku ya pili la tamasha ili la Coachella na kuwageuza wengine wengi kufanya kama alivofanya na kuwafanya wafurahie burudani iliotolewa na wasanii kama HAIM, Tyler the Creator, David Byrne, alt-j, Post malone na Bila kusahau mwenye tamasha lake Beyonce.

Queen B alishika vichwa vya habari jana Jumamosi usiku baada ya kupata dhamana mwaka wa jana kuhusiana na tamasha lake la Coachella. Inayofuata sasa ni Eminem
No comments:
Post a Comment